MAHAFARI YA KUHITIMU KIDATO CHA SITA

Image
MAHAFARI YA KUHITIMU KIDATO CHA SITA,MAHAFARI HAYO YALIFANYIKA KATIKA SHULE ZA KAIZIREGE NA KEMEBOS ZILIZOPO BUKOBA MKOANI KAGERA  TAR.19/05/2018 MGENI RASIMI KATIKA MAHAFARI HAYO ALIKUWA WAZIRI WA VIWANDA,BIASHARA NA UWEKEZAJI Mhe.CHARLES MWIJAGE Picha na:- PHD PRODUCTION Kwa picha na video kwa ajili ya kumbukumbu yako wasiliana nasi: 0762243179 Kayanga karagwe

MATAYARISHO NA MATENGENEZO YA MOVIE ITAKAYOTAMBULIKA KWA JINA LA MPIGA DEBE YAMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 89%

MATAYARISHO NA MATENGENEZO YA MOVIE ITAKAYOTAMBULIKA KWA JINA LA MPIGA DEBE YAMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 89%

Kikundi cha uigizaji wa filamu kinachoitwa PAMBAZUKO SANAA GROUP {PSG} kikishirikiana na wasanii maarufu kimeandaa kimeandaa Bonge la filamu yenye kusisimua,Kuelimisha n,kuburudisha nk itakayotambulika kwa jina la MPIGA DEBE ambayo itaanza kuingia sokoni kuanzia mwezi wa saba mwaka huu...

Filamu hiyo imeshutiwa katika maeneo mbali mbali ya nchi ya Tanzania na kampuni iliyohusika katika Shooting,Editing na Production kwa ujumla inaitwa 
PHD PRODUCTION iliyopo Mkoani Kagera

Nimekuwekea Picha za matukiao mbali mbali mbali ya wasanii wakiwa Location na Maandalizi ya filamu kwa ujumla






















Comments

Popular posts from this blog